Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hivi lini jina la fedha halali ya Tanzania limebadilika toka shilingi hadi madafu?

    ReplyDelete
  2. Hello Michuzi,

    mi mara nyingi sana huwa nafuatilia sana hii safu ya bei ya pesa za kigeni. hivi hatuwezi kuwa na jina lingine zuri kwa pesa yetu angalau kuonyesha uzalendo hata kama haifanyi vizuri kimataifa. tafadhari sana ningeomba tutafute jine lingine la kuiita pesa yetu na si MADAFU hii ni kuizaririsha pesa yetu.

    ahsante

    Thomas Maokola
    0767 19 27 91

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...