Wageni
waalikwa kutoka Jimbo la Segerea wakiwepo wananchi wa kawaida wakifuatilia
tukio la uzinduzi wa kampeni hiyo.
Mwanamitido wa Kimataifa, Flaviana Matata akizungumza
wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya ya
Mazingira Bora kwa Elimu Bora yenye lengo la kufanikisha maendeleo ya elimu
katika Jimbo la Segerea kwa kusaidia kununua madawati, kuchimba matundu ya
vyoo, kuchimba visima vya maji na kujenga vyumba maalum vya watoto wa kike,
chini ya uratibu wa Mfuko wa Udhamini wa Elimu wa Bonnah (BETF), jijini Dar es
Salaam jana. Wengine pichani ni mwandaaji wa kampeni hiyo ambaye ni Mbunge wa
Segerea, Bonnah Kaluwa na Mratibu wa Elimu Josephat Peter.
1. Mbunge wa Segerea Mhe Bonnah Kaluwa akiongea wakati wa mkutano na waandishi wa
habari.





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...