Promota Juma Msangi kushoto akiwa na Rais wa Oganaizesheni ya ngumi za
kulipwa nchini TPBO Yassin Abdallah ‘Ustaadhi’ pamoja na Meneja msaidizi
wa bondia Fransic Cheka wakitambulisha mpambano wa bondia huyo mbele
ya waandishi wa habari mpambano huo utakaofanyika Feb 27 katika uwanja
wa Leaders Club Picha na SUPER D BOXING NEWS
Home
Unlabelled
CHEKA KUPANDA ULINGONI FEB, 23 DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...