Wachezaji wa klabu ya Simba jana wamelionja joto la jiwe baada ya mashabiki wa Ndanda FC kuwavamia wachezaji wakati wa mazoezi. https://youtu.be/6kqjr9XjQ00
Timu ya CDA imetupwa nje katika mashindano ya kombe la shirikisho baada ya kupokea kichapo cha bao 1 toka kwa Singida United. https://youtu.be/KmxQHdfWOqU
Serikali imetoa tamko kuwa itaendelea kuwalipa mishahara makocha wote wa timu za taifa https://youtu.be/Ochi73k6Q64
Fahamu mengi kutoka kwa Mch. Samwel Maela akikufundisha mengi kuhusu mpango wa Mungu na taifa la Tanzania mwaka 2016: https://youtu.be/rO96gpssLDs
Jionee mengi jinsi watanzania wanavyosherekea kwa furaha mwaka mpya na wakizungumza matarajio yao kwa mwaka mpya mwaka 2016:https://youtu.be/A7jcptFyuAw
Kutana na wachambuzi wa masuala ya maendeleo kutoka visiwani Zanzibar wakikuelimisha mambo kadha wa kadha kuhusu ujenzi wa taifa:https://youtu.be/1SVUJ6ElmDA
Msikilize Mkurugenzi wa gesi kwa matumizi ya nyumbani akikuhabarisha kuhusu usambazaji na matumizi ya gesi majumbani: https://youtu.be/MtYkLmdwXW8
Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi mhe. Lukuvi awaongoza wakazi wa jiji la Dar katika mkesha wa mwaka mpya. https://youtu.be/HIk94oLcmNc
Serikali yaahidi kuwawekea walemavu mpango maalumu ili kuwatengezea mazingira bora ya ajira. https://youtu.be/GH9uvGzSIAk
Jeshi la polisi mkoani Simiyu limekamata gari aina ya Toyota Harrier lililoibiwa December 7 jijini Dar https://youtu.be/Z17Ly6KRuBY
Kamishna Suleiman Kova aliyekuwa mkuu wa kanda maalumu ya Dar es Salaam amestaafu kulitumikia jeshi la polisi. https://youtu.be/u5xOJa44sRQ
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...