Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazoakama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi Wodi ya Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja leo ikiwa ni katika shamra shamra miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa Ushauri kwa Uongozi wa Hospitali wa Wizara ya Afya wakati alipokuwa akitembelea hatua ya ujenzi Wodi ya Watoto na upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja baada ya kuweka jiwe la msingi miradi hiyo miwili leo ikiwa ni katika shamra shamra miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) ni Mkandarasi wa ujenzi kampuni ya Rans Ali Nassor Salim.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa nasaha zake kwa wananchi pamoja na wafanyakazi wa Hospitali ya mnazi mmoja katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Wodi ya Watoto na upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja leo ikiwa ni katika shamra shamra miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Bw.Jaap Frederiks.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...