SIMU.TV: Vigogo wajisalimisha kwa rais Magufuli. Dkt.Shein atoa ya moyoni. TRA yaweka rekodi mpya ukusanyaji mapato;https://youtu.be/11zJt_tkfDw
SIMU.TV: Serikali yatangaza kiama kwa raia wa kigeni. Jipu latumbuliwa Ushirika Songea. Nauli za DART zapigwa chini;https://youtu.be/vlUG69xi5EY
SIMU.TV: Nyumba 678 kuhakikiwa upya bonde la Mkwajuni. CHADEMA wakutana Moshi. Moto wazuka makao makuu ya polisi;https://youtu.be/7BwHfzOjfQY
SIMU.TV: Yanga,Mtibwa zaogopana mechi ya leo. Mkude, Majwega waruka mtego. Pluijm aishtukia Yanga;https://youtu.be/V5MJOicmYZE
SIMU.TV: Fatma Karume ashauri rais Shein akae pembeni. Mahakama yanusuru nyumba ya mchungaji Lwakatare kubomolewa. TAKUKURU kuwapandisha kizimbani maafisa ardhi kinondoni; https://youtu.be/fITJEUbDhHc
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...