SIMU.TV: Mbunge UKAWA azuia bomoa bomoa Dar, Basi laua 4 na kujeruhi 33. Pata dondoo za magazeti ya leo hapa. https://youtu.be/d8XiGPe8RQ8
SIMU.TV: Siku 60 tofauti ya Ikulu ya Kikwete na Magufuli, Dodoma wamuaga polisi aliyekufa maji na familia yake. Pata dondoo hizi hapa. https://youtu.be/oh9E7-Vtk2M
SIMU.TV: Mawaziri wa JPM Watumbua majipu, Dkt. Mwakyembe ajilipua atoboa madhambi ya mahakimu, makarani, polisi na magereza. https://youtu.be/-Xai70SMThE
SIMU.TV: TFF Yampeleka Samatta Nigeria, Chupu chupu Yanga na Azam ngoma droo, Pata dondoo za magazeti ya michezo hapa.https://youtu.be/rTT_jXBEQmM
SIMU.TV: Pata habari za kina zilizopewa uzito na wahariri katika magazeti ya leo Januari 6.2015; https://youtu.be/-S0u9gjreLA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...