Mkuu wa kitengo cha masoko kutoka GEPF Bw Aloyce Ntukamazina akimkabidhi mlezi wa kituo hicho Sr Restituta Kijja sehemu ya msaada huo.
maafisa wa GEPF pamoja na mlezi wa kituo wakifurahia jambo na watoto wa kijiji cha Furaha kilichopo Mbweni.
baadhi ya watoto wa kituo hicho wakiwa katika picha ya pamoja kwa furaha baada ya kukabidhiwa msaada wa vyakula na Mfuko wa GEPF.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...