Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole
Gabriel kulia akiongea na Kiongozi wa msafara kutoka Serikali ya China jimbo la Jiangxi
Bw. Yao Yaping wa kwanza kushoto kuhusiana na uboreshaji wa sekta ya Utamaduni na
Sanaa baina ya Serikali ya Tanzania na China, katikati ni Kaimu Mkurugenzi Sanaa Bi. Leah
Kihimbi.
Kiongozi wa msafara kutoka Serikali ya China jimbo la Jiangxi Bw. Yao Yaping wa
kwanza kushoto akiongea na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Prof. Elisante Ole Gabriel wa kwanza kulia kuhusiana na uboreshaji wa sekta ya Utamaduni
na Sanaa baina ya Serikali Tanzania na China, katikati ni Kaimu Mkurugenzi Sanaa Bi. Leah
Kihimbi.
Kiongozi wa msafara kutoka Serikali ya China jimbo la Jiangxi Bw. Yao Yaping wa kwanza kushoto akimpa zawadi Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel mara baada ya mazungumzo ya uboreshaji wa sekta ya Utamaduni na Sanaa baina ya Serikali Tanzania na China, katikati ni Kaimu Mkurugenzi Sanaa.(Picha na Benjamin Sawe- WHUSM)





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...