Kundi la Mziki la Navy Kenzo Linaloundwa na Aika na Nahreel wametutoa kimasomaso Watanzania Baada ya Video yao ya Wimbo wa Game Walioshirikiana na Vanessa Mdee Kushika Namba Nne katika Chat ya Video 50 Bora za MTV Base Africa Zilizofanya Vizuri mwaka 2015..
Diamond Platnumz na Wimbo wake wa Nana umeshika namba 5 Katika Chat hizo, Wimbo huo wa Nana Pia Umetengenezwa na Producer Nahreel Kitu kinachomfanya Aendelee kuwa Producer Bora zaidi Kuwahi kutokea Tanzania na East Africa kwa Ujumla, Mwimbaji Wizkid wa Naigeria Ameshika Namba 6.
Pongezi ziende kwao @nahreel,@aikanavykenzo wanaounda Kundi la Navykenzo. Mwaka Huu Tegemea Mambo Makubwa Kutoka Kwao na The Industry Kwa Ujumla.
Management/Bookings:
Paschal M.G
+255 769 352 825
+255 782 481 971
Email: bookings@navykenzo.com
Website: www.navykenzo.com
For more information
Twitter: https://twitter.com/ navykenzo
Instagram: https://instagram. com/navykenzoofficial
Snapchat: navykenzo
Be sure to subscribe to our Vevo: https://www.youtube.com/ user/NavyKenzoVEVO/videos
Paschal M.G
+255 769 352 825
+255 782 481 971
Email: bookings@navykenzo.com
Website: www.navykenzo.com
For more information
Twitter: https://twitter.com/
Instagram: https://instagram.
Snapchat: navykenzo
Be sure to subscribe to our Vevo: https://www.youtube.com/
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...