Kikundi cha Muziki wa Kizazi Kipya cha Navy Kenzo kimetoa Burudani ya nguvu katika uzinduzi wa Viva Night Club iliyopo maeneo ya Forest ya Zamani mkabala na Chuo Kikuu cha Mzumbe Jijini Mbeya..
Kiota Kipya cha Burudani Jijini Mbeya kiendacho kwa Jina la Viva Night Club Pichani kilichopo Eneo la Forest ya Zamani mkabala na Chuo Kikuu cha Mzumbe Jijini Mbeya..
Baadhi ya Wadau wa Burudani wakiwa katika Matanuzi Ndani ya kiota hicho cha Burudani kiendacho kwa Jina la Viva Night Club kilichopo Eneo la Forest ya Zamani mkabala na Chuo kikuu cha Mzumbe Jijini Mbeya..
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MBEYA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...