Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Freredick Sumaye na Mama Esther Sumaye alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leo Jumatatu Januari 11, 2016
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Freredick Sumaye alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leo Jumatatu Januari 11, 2016
Inapendeza kuona elite class inatibiwa hosp ya taifa muhimbili, Mungu ibariki Tanzania. Adumu rais wetu JPM
ReplyDeleteItapendeza maradufu, kama mtanzania wa kawaida mlala hoi, ataweza naye tutibiwa katika taasisi, kama vile hao uliowaita "elite class" wanavyotibiwa hapo Muhimbili.
ReplyDeleteKwani walalahoi wamekataliwa? Funguka vema
DeleteMatabaka yapo tu, hatuwezi kiyakimbia. Tajiri/masikini, aliyesoma/asiyesoma, mfanyakazi/bosi, fisadi/muadilifu.
DeleteYote hii ni sehemu ya maisha, maisha ni kutofautiana.
Ukitaka "fast track" itabidi kuzama mfukoni usitegemee dezo.
Good move from Mr. President. Very class gesture to visit ex-PM.
ReplyDeleteHata mbinguni kuna classes! Move on annony no 2. Wacha roho mbaya.
ReplyDeleteKumbe hawa jamaa wangechaguliwa sasa wote wangekuwa majuu wakitibiwa. Hata hivyo tunashukuru nchi yetu. Uchaguzi umekwisha sasa kazi tu kwa wananchi wote bila kujali itikadi ama class!
Kwa kweli hongera sana Magufuli unaonyesha kwa mifano kabisa kuwa siasa isiwe sababu ya kujengeana uadui . Na siasa ni kazi nje ya kazi kuna maisha ya kawaida. Hongera sana.
ReplyDeleteBora hata wangekuwa wamekataliwa tungejua kimoja, kwao ni ndoto za mchana.
ReplyDeleteAnnoy nr 5, wewe mbinguni umefika? au unasikia tu story za mbinguni na unazibugia tu nzima nzima, tatizo si matabaka, bali naona sasa watu wanayakumbatia na kuyatetea matabaka! emancipate yourselves from mental slavery, none but ourselves can free our minds......
ReplyDelete