WAZIRI Mkuu Mstaafu Mhe. Fredrick Sumaye (wa pili kulia), na mke wake mama Esther Sumaye wakimuonesha Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Paul Makonda (kulia) eneo la shamba lake la ekari 33 lililopo Mabwepande Manispaa ya Kinondoni lililovamiwa na wananchi walipotembea eneo hilo Dar es Salaam leo asubuhi.
Hapa Sumaye na viongozi wengine wakitafakari jambo.
DC Makonda akihutubia katika mkutano huo. Kulia ni Diwani wa Kata ya Mabwepande, Suzan Masawe.
Mheshimiwa Sumaye (kushoto), akiongoza kuonesha mpaka wa shamba lake.
Mhe. Sumaye akielezea uhalali wake wa kumiliki eneo hilo.
Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA
KIONGOZI AJILINGANISHE HALI YAKE NA HALI YA WALE ANAOWASHUTUMU KWAMBA WAMEMPOLA. TUMUGOPE MWENYEZI MUNGU JAMANI. ANGALIA HATA HIVYO VIJUMBA VILIVYOJENGWA NA WANANCHI KATIKA SHAMBA HILO VIKO HOI, NI AIBU SANA. HEBU KIONGOZI ONYESHA UZALENDO AU HALI YA KUJALI WATU MASIKINI.KUMBUKA KAULI YA
ReplyDelete"TANZANIA HAIJAFANYA CHOCHOTE TANGU IPATE UHURU" KUMBE NDIYO HAYO?????
UWE NA AIBU MKUU, ACHA, ACHA, ACHA.KAULI YAKO ITAKUFUATA SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO NA KAMWE HUTAJIFICHA.MENGI TUTAYAONA.
"HAPA KAZI TU"