Wananchi wa Jiji la Mbeya washerehekea kwa kupiga Videbe
Mkesha wa Mwaka Mpya ikiwa ni kuonyesha Furaha za kuuona Mwaka Mpya
na kuamua kukatiza Mitaa Mbalimbali huku wakiimba Nyimbo za
Kuukaribisha Mwaka Mpya kama waonekanavyo hapo Juu katika
Taswira....
Furaha ikiwa imetawala kwa baadhi ya Wakazi wa Jiji la
Mbeya.
Mwaka waanza vibaya pia kwa mwenye Gari hilo Pichani lenye
Nambari za Usajli (T 240 BCB) kwa kuparamia Ukuta Eneo la Mwanjelwa
Jijini Mbeya,
PICHA NA MR.PENGO
MBEYA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...