Waziri
wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo (mbele) akiongoza kikao kilichoshirikisha
watendaji wa Wizara ya Nishati na Madini na kampuni ya Mtibwa Sugar Estates
Ltd. Profesa Muhongo aliitaka kampuni
hiyo kuwekeza kwenye uzalishaji wa umeme
ili kukidhi mahitaji yake zaidi.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini -
Madini, Prof. James Mdoe
(kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Nishati na Madini – Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana Palangyo (kulia)
wakifuatilia kwa makini maelezo yaliyokuwa yanatolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa
Mtibwa Sugar Estates Ltd, Nassor Seif (hayupo pichani)
Mkurugenzi
Mtendaji wa Mtibwa Sugar Estates Ltd, Nassor Seif akielezea shughuli zinazofanywa
na kampuni ya Mtibwa Sugar Estate Ltd.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mhandisi Felchesmi Mramba
akisisitiza jambo katika kikao hicho.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...