Mtaalamu wa vifaa bandia na vifaa visaidizi vya watu wenye ulemavu Bw. Richard Mbawa akimwonesha Naibu Waziri (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi namna kifaa cha mguu bandia kinavyofanya kazi wakati wa ziara yake katika Chuo cha Watoto wenye Ulemavu wa Viungo cha YDPC Tanga.
 Mwalimu Mkuu wa Shule ya Pongwe Bw. Yahya A. Matifa (wa kwanza kulia) akimonesha Naibu Waziri (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi maeneo ya shule hiyo wakati wa ziara yake katika shule za watu wenye mahitaji maalum mkoani Tanga.Januari 4, 2016.
Katibu Tawala mkoa wa Tanga Bw. Salim Chima (wa kwanza kushoto) akimpitisha Naibu Waziri (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi katika taarifa ya mkoa wa Tanga, wakati wa ziara yake ya kutembelea Shule na Vituo vya watu wenye ulemavu mkoani hapo, Januari 4, 2016. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...