Mwakilishi wa ubalozi wa Nigeria, bibi Abiola Delupe aitembelea Efm Radio leo katika vitengo tofauti na kuona utendaji kazi wa radio. Huku akikutana na baadhi ya watangaziji kujadili mambo tofauti tofauti na jinsi watakavyo weza kuendeleza kazi zoa nje ya mipaka ya Tanzania.
Meneja mkuu Dennis Ssebbo akijadili mambo tofauti kuhusiana na ufanisi wa kazi katika radio hiyo.
Bibi Abiola Delupe (Kushoto) akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Efm radio Francis Ciza.
Baadhi ya viogozi wa Efm Radio katika mazungumzo na Bibi Abiola Delupe.
Bibi Abiola Delupe akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Efm radio Francis Ciza.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...