Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Jamii kutoka
Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi.Costancia
Gabusa (katikati) akichangia mada wakati wa kikao cha kupitia Filamu ya “DADA”
kilichofanyika katika ofisi za Bodi ya Filamu Tanzania leo jijini Dar es
Salaam. Kikao hicho kimejumuhisha wajumbe kutoka Ofisi ya Uhamiaji Makao Makuu,
Jeshi la Polisi, Wizara ya Afya na Maendeleo ya jinsia, wazee na watoto na
TCRA.Kulia ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo na
kushoto ni Afisa Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Bw. Fredrick Mgaza.
Katibu Mtendaji waBodi ya Filamu Bibi. Joyce
Fissoo akielezea jambo wakatika wa kikao kazi kwa ajili ya mapitio ya Filamu ya
“DADA” iliyowasilishwa ofisini kwake kwa ajili ya ukaguzi leo jijini Dar es
Salam.Kushoto ni Mtengenezaji na Mmiliki wa Filamu hiyo Bi. Christina Mroni
Wajumbe wa kikao cha mapitio ya Filamu ya “DADA”
wakifuatilia Filamu hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...