Home
Unlabelled
DIRA YA DUNIA YA BBC SWAHILI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Pole sana Bi Elizabeth Otieno na hongera sana kwa kuwa jasiri na mvumilivu sana mbali ya madhila yote uliyokumbana na kukabiliana nayo. Waswahili wanasema..."Ng'ombe hashindwi na nunduye" naambini madhali umehimili miezi tisa na kujifunguwa salama, basi MOLA atazidi kukupa ujasiri, uvumilivu na moyo wa huruma na upendo kwa mtoto wako, atakuwa na kesho ndiye huyo huyo atakaekuja kukufaa In Sha Allah, Mwenyeez Mungu akukuzie na awe ni miongoni mwa watoto wema na mwenye upendo kwa mzazi wake na wote wamzungukao. Kweli wewe ni mwanamke wa shoka.
ReplyDelete