
Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho.
LEO ni siku muhimu sana kwa Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.Hivyo, uongozi na wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Publishers Ltd iliyopo Bamaga-Mwenge jijini Dar, unamtakia heri ya kuzaliwa Meneja Mkuu wao, Abdallah Mrisho.

Abdallah Mrisho akiwa katika pozi.
Tunatambua mchango wako ni mkubwa sana kwa wafanyakazi wote wa Global Publishers Ltd na Tanzania kwa ujumla, hivyo tunakuombea miaka mingi zaidi, Mwenyezi Mungu akulinde, kukuongoza na kukupa nguvu zaidi ya kulifikisha taifa hili mbali.
Happy Birthday Abdallah Mrisho!
Happy Birthday Abdallah Mrisho!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...