Home
Unlabelled
HOTUBA YA RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI SIKU YA SHERIA FEBRUARY 4, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hotuba nzuri.. inagusa maisha ya watanzania.
ReplyDeleteAsante sana rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli haya sasa kusikia mmesikia na kuambiwa mmeambiwa badilikeni mahakimu wote ndani ya Tanzania yetu pigeni kazi kwa uzalendo wa hali ya juu kabisa kumbukeni mafisadi ni watu wabaya sana ni hatari kucheka nao wafungeni ili nchi ikae sawa kumbe ni very simple kununua mijidege mikubwa mikubwa watanzania wezangu itustue hii hotuba murwaa kabisa naitwa the Mdudu mwenye machungu na nchi yangu
ReplyDeleteKuhusu suala la Vitambulisho vya Taifa ni vema Mhe.Rais aende akajifunze NIDA wanafanya nini. Ninawiwa kusema hasa kuhusu suala la signature nimesikitika kuwa haelewi lolote na yawezekana amekuwa mislead.
ReplyDeleteWewe unayeshangaa tueleze NIDA wanafanya nini? Sehemu karibu zote. Sahihi huwekwa juu ya hati. Passport zote. Na hati nyingine. Sasa unashangaa tena. Haelewi nini?
DeleteRais anatakiwa apewe maelezo ya kuridhisha juu ya matumizi ya hizo fedha. Huo muda wa kujifunza hana. Taasisi ziko nyingi ina maana ataenda kujifunza kila taasisi? Hao waliokuwa na hilo jukumu waeleze kuna nini. Nafikiri vyombo vya usalama vitatenda haki. Lakini watanzania lazima tubadilike. Tuko nyuma sana. Tunataka maendeleo bila kuhangaisha vichwa. Tunapenda kazi rahisi. Ulaya hawana mchezo. Ukikamatwa ni faini. Sisi huku tumelala. Kazi ni kulalamika.
DeleteHivyo vitambulisho kwel havina signature na kama kuna ufafanuz wowote tupewe sis wananch tuna haki ya kujua nn kinacho endelea
DeleteInawezekana waliobuni hivyo vitambulisho waliiga sehemu kuwa vitambulisho sio lazima viwe na signature. Lakini sio kila kitu cha kuiga kama kilivyo. Unamtengenezea mtanzania kitambulisho ambacho hata mabenki hawakitambui kufungua akaunti kimsaidie nini!
Deletedaahhh Hongera Mh. Rais, kwa hotuba nzuri sanaa
ReplyDeleteGharama ya kitambulisho kimoja sawa na dola eldu tano!! Ajabu hasa!! Hongera Mhe. Rais.
ReplyDeleteSaini hata kadi ya benki ina saini iwe kitambulisho cha taifa. kukata matumizi kutengeneza peas!!
Hapa Kazi Tu!