Mgeni rasmi ambaye pia ni Ofisa Tawala Wilaya ya Arusha Polycarp Nkuyumba ambaye alimwakilisha Dc wa Arusha Fadhil Nkurlu katika Maonyesho ya Mashine na Mikopo yalionza Jana Katika viwanja vya Makumbusho akiongea na wananchi mbali mbali walikuja kuangalia Moanyesho hayo huku pembeni ya Afisa tawala ni Meneja Miradi na mikopo wa EFTA Peter Temu wakati wa ufunguzi huo
![]() |
Picha juu na Chini SEHEMU YA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA WALIFIKA KWENYE MAONYSHO HAYO WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI MGENI RASMI. |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...