Ndugu wa Marehemu wakiwa katika ibada nyumbani kwa Marehemu Kurasini jijini Dar es Salaam ibada ya kumuaga marehemu Gervase Rutaguza aliyefariki dunia Februari 23 mwaka huu.
Baadhi ya ndugu na Jamaa wa Marehemu Gervase Rutaguza aliyefariki dunia Februari 23 mwaka huu wakiaga mwili wa marehemu leo katika kanisa Katoliki la Mtakatifu Maurus, Kurasini jijini Dar es Salaam leo Februari 26, 2016.
Ndugu jamaa na marafiki wa Marehem Gervase Rutaguza aliyefariki dunia Februari 23 mwaka huu wakiwa katika ibada katika Katoliki la Mtakatifu Maurus, Kurasini jijini Dar es Salaam leo na kuelekea katika makaburi ya Chang'ombe Maduka mawili jijini Dar es Salaam leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...