
The contact promotion program inakukaribisha kuhudhuria event itakayohusisha makampuni kutoka Mauritius watakaokuja kuonesha bidhaa zao hapa Tanzania. Hii event ina dhumuni kubwa la kuwaleta pamoja wafanya biashara wakubwa na wadogo pia (buyers na investors) wa nchi zote mbili (Tanzania & Mauritius), itawaleta viongozi wa sekta tofauti pamoja na kuwapa nafasi ya kuzungumzia biashara zao.
BIDHAA ZITAKAZOKUWA ZINAONESHWA NI ZA SEKTA ZIFUATAZO ::Light Engineering, Agro Products, Paint&chemicals, Textile&Accessories
Hii event itakuza mahusiano ya kibiashara kati ya Tanzania na Mauritius.
ITAFANYIKA :: JULIUS NYERERE INTERNATIONAL CONVENTION CENTRE
TAREHE 22 HADI 23 FEBRUARY 2016
KIINGILIO NI BUREE KABISA!
USIKOSE KWENDA KUJICHANGANYA NA WATU TOFAUTI WA HAPA TANZANIA NA WALE KUTOKA MAURITIUS ILI UWEZE KUJIKUZA ZAIDI KATIKA BIASHARA. Kusoma zaidi BOFYA HAPA


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...