Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kushoto) akimkabidhi mfano wa cheki Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP-Ernest Mangu (kulia). Benki ya NMB imedhamini mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi 2016 kwa kuchangia shilingi milioni 75 pamoja na baadhi ya vifaa vingine vya mkutano huo unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere jijini Dar es Salaam. Katikati ni mgeni rasmi wa mkutano huo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Muhangwa Kitwanga akishuhudia tukio hilo. Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kushoto) akimkabidhi mfano wa cheki Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP-Ernest Mangu (kulia). Benki ya NMB imedhamini mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi 2016 kwa kuchangia shilingi milioni 75 pamoja na baadhi ya vifaa vingine vya mkutano huo unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere jijini Dar es Salaam. Katikati ni mgeni rasmi wa mkutano huo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Muhangwa Kitwanga akishuhudia tukio hilo. Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker akizungumza machache katika kikao kazi cha maofisa wakuu wa Jeshi la Polisi kabla ya kukabidhi mfano wa cheki yenye thamani ya shilingi milioni 75. Benki ya NMB imedhamini mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi 2016 kwa kuchangia shilingi milioni 75 pamoja na baadhi ya vifaa vingine vya mkutano huo unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...