Nyumba hii inapangishwa, ipo maeneo ya Chang'ombe Bora, Wilayani Temeke. Inafaa kwa matumizi ya Ofisi na inaeneo kubwa la kuegesha magari zaidi ya 20. ipo karibu na barabara na kunafikika kirahisi.

kwa yeyote anaehitaji awasiliane nasi kwa namba hii 
0713 564 460 au 0764 545 424
 eneo la Maegesho.
 Muonekano wa nyumba hiyo kutokea upande.
Ndani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...