Serikali yasema kukamilika kwa daraja la Kigamboni kutasaidia kupungua kwa msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam;https://youtu.be/GC9Lc3qke7k
Mkuu wa mkoa wa Arusha amuagiza mkuregenzi wa halmashauri ya Karatu kumsimamisha mtendaji wa wa kijiji Dofa kwa tuhuma ya ubadhilifu wa fedha za umma; https://youtu.be/xvKArzLIaWU
Serikali mkoani Iringa yaanza kubaini makazi ya kudumu kwa ajili ya wananchi waliokumbwa na mafuriko;https://youtu.be/6Nhw14N2gKw
Mifuko ya hifadhi ya jamii kwa nchi za Afrika Mashariki yatakiwa kuwainua kiuchumi watu waliojiajiri katika sekta zisizo rasmi;https://youtu.be/5NSqRN6mpr4
Benki ya Stanbic Tanzania yailipa benki kuu Tanzania faini ya bilioni tatu kwa tuhuma ya kujihusisha katika malipo ya kampuni ya EGMA kinyume na taratibu za kibenki; https://youtu.be/_xALcw23MFw
Rais John Magufuli aigiza mamlaka ya mapato nchini TRA kukamata kazi za wasanii zisizo na alama maalum ya TRA;https://youtu.be/SA5RfSTiiwU
Bodi ya filamu nchini yazitaka kampuni zinazohusika na utengenezaji wa filamu nchini kutumia watalaamu wazawa katika kazi zao ili kukuza wigo wa ajira kwa vijana wa kitanzania;https://youtu.be/U25Lnb-lYho
Waziri wa nishati Prof.Sospeter Muhongo awataka wawekezaji wa ndani kushirikiana na wakezaji wa kimataifa kuwekeza katika nishati ya umeme; https://youtu.be/zikgy8AzQ8o
Baadhi ya shule za misingi mkoani Dodoma zafanya vibaya katika mitihani ya taifa kutokana na kusitishwa kwa mpango wa ugawaji wa vyakula shuleni; https://youtu.be/UkSAp7N6qMA
Jeshi la polisi nchini latakiwa kujenga uhusiano mzuri na wananchi ili kusaidia upatikanaji wa taarifa zenye kuhatarisha hali ya usalama nchini; https://youtu.be/YrwWWNVlr1k
Baraza la mitihani Tanzania NECTA latangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2015; https://youtu.be/bxPrUzfMLeA
Umoja wa wafanyabiashara wa mafuta nchini waiomba EWURA kutazama upya upangaji wa bei ya nishati ya mafuta mikoani;https://youtu.be/aHs1blNtves
Waziri wa mambo ya ndani Charles Kitwanga alitaka jeshi la polisi kuacha kufanya kazi kwa mazoea na kujiepusha na vitendo vya rushwa pamoja na tuhuma za uonevu dhidi ya raia.https://youtu.be/S1y6lnKzekE
Waendesha pikipiki maarufu kama boda boda mkoani Kilimanjaro watakiwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama kufichua wahalifu kwani baadhi ya wahalifu ni wateja wao.https://youtu.be/ei3hyzLRt_M
Halmashauri ya wilaya ya Kilwa yapiga marufuku uvuvi haramu wa kutumia mabomu unaofanywa katika kisiwa cha Nyuni kilichoko katika kata ya Songosongo. https://youtu.be/_ZGz5zhTEz8
Serikali ya Tanzania inatarajia kuzindua program ya kieletroniki ya masuala ya ardhi kuanzia upangaji, upimaji hadi utolewaji wa hati ndani ya miaka 5. https://youtu.be/lqnv5b4sywo
Wanakijiji wa kijiji cha Mhunze mkoani Simiyu wamkataa mwalimu mkuu wa shule ya msingi Peter Marando kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha za ruzuku za elimu mashuleni.https://youtu.be/RqKjZTtn2wM
Shirika la umeme nchini TANESCO limewahakikishia wateja wake kuwa kukamilika kwa vituo 3 vya kufua umeme mwishoni mwa mwezi wa 6 mwaka huu vitasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza tatizo la kukatika umeme katika mikoa ya Pwani na Dar es salaam.https://youtu.be/jiSHQfJxs3Y


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...