Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akifungua Mafunzo Elekezi kwa
Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Febuari, 2016.
Kulia ni Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti Mhe Hawa Ghasia akizungumza
wakati wa ufungunzi wa mafunzo elekezi kwa waheshimiwa Wabunge. Katikati ni
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai na kulia ni Naibu Spika Mhe Dkt Tulia Ackson.
Baadhi
ya Waheshimiwa Wabunge wakifuatilia ufunguzi wa Mafunzo elekezi
Baadhi
ya Waheshimiwa Wabunge wakifuatilia ufunguzi wa Mafunzo elekezi
Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai akiteta jambo na Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson
mara baada ya kufungua Mafunzo Elekezi kwa Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...