Home
Unlabelled
SYDS Bariadi Albinism Report
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi wakati mwingine watu wetu wote tu vilema wa mambo mengi. Hivi kuna haja ya kudai kwamba Donors should emphasize Serikali yetu ikataze leseni za waganga wanaotumia viungo vya watu wenye ualbino. Hili mpaka wafadhili. Iwapo tunashukuru Serikali kwa jitihada inazofanya sasa donors wa nini tena? Tusitumiwe na watu wenye ajenda zingine. Magifuli amesema hapa kazi tu. Unadhani atakubali mauaji ya watu wenye ualbino kuendelea. Hahitaji wafadhili kumwambia hili. Tuungane naye. Tuelimishe jamii yote ipinge na kuwakubali wenzetu wenye ualbino bila ubaguzi wa aina yeyote ile. Tusiwape wazungu umaarufu wasiostahili na wenzetu wengine wanaotafuta pesa ya kuishi mjini kwa kutudhalilisha sisi wote.
ReplyDelete