Umati wa watu ukisheheni katika tamasha la Mchizi wangu la 93.7 Efm Radio, lililofanyika siku ya wapendanao tarehe 14/02/2016 katika viwanja vya Posta Kijitonyama Dar es salaam, likiongozwa na mziki wa mchiriku na singeli Msaga Sumu. Tamasha hilo lilisheheni Wasani kibao wakitumbuiza huku wakiongozwa na msaga sumu na skide mtoto wa mama shante.
Tuvituvitu vilivyojitokeza katika tamasha la mchizi wangu
Amsha amsha kutoka kwa baadhi ya mashabiki wakionyesha nyuso za furaha wakati wakipata burudani.
Raisi wa singeli Suleiman Jabir a.k.a Msaga Sumu akitumbuiza mashabaki waliofika kwenye tamasha la Mchizi Wangu.
Vijimambo vingine vilivyotokea katika tamasha hilo







Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...