Mkuu wa Shule ya Sekondari Shimbwe iliyopo wilayani Moshi vijijini, Jacob Costantine akimueleza jambo Mkuu wa Vodacom Kanda ya Kaksakazini,Henry Tzamburakis alipofika shuleni hapo kwa ajili kukabidhi mashine ya kisasa ya kudufu karatasi.
Mkuu wa Vodacom kanda ya Kaskazini Henry Tzamburakis akimkabidhi Mkuu wa Shule ya sekondari ya Shimbwe iliyopo wilayani Moshi vijijini, Jacob Costantine, msaada wa Mashine ya kudurufu karatasi iliyotolewa na kampuni ya Vodacom ikiwa ni ahadi iliyotolewa kwa shule hiyo kupitia programu ya Pamoja na Vodacom.wengine ni walimu na wanafunzi wa shule hiyo.
Mkuu wa Vodacom kanda ya Kaskazini Henry Tzamburakis akimuelekeza Mkuu wa Shule ya sekondari ya Shimbwe iliyopo wilayani Moshi vijijini, Jacob Costantine namna ambavyo mashine ya kudurufu karatasi iliyotolewa na Vodacom shuleni hapo inavyoweza kufanya kazi.
Mkuu wa Vodacom kanda ya Kaskazini Henry Tzamburakis(mwenye kofia) akizungumza jambo na Mkuu wa Shule ya sekondari ya Shimbwe iliyopo wilayani Moshi vijijini, Jacob Costantine muda mfupi baada ya kukabidhi msaada wa Mashine ya kudurufu karatasi.kushoto ni Mwenyekiti wa bodi ya shule hiyo Mch Marco Silemu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...