Katibu Mkuu Wizara ya
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiwa katika picha
ya pamoja na mdau wa filamu Bi.Khadija Seif (Didas) wakati alipomtembelea
ofisini kwake kujadili jinsi gani ya kutunisha mfuko wa maendeleo ya filamu.Bi
Khadija anategemea kuchangisha milioni 200 katika mfuko huo.mwingine pichani ni
Bi.Joyce Fissoo ambae ni Katibu mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania.
Home
Unlabelled
WADAU WA FILAMU KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUTUNISHA MFUKO WA MAENDELEO YA FILAMU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...