Mkurugenzi
Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akikabidhi vitendea kazi kwa Mh. Jenista
Mhagama Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi,
Vijana na Walemavu.
Mkurugenzi
Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akifafanua jambo wakati wa kikao cha
pamoja na Mheshimiwa Waziri Jenista Mhagama (kushoto), ofisini hapo.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na
Walemavu Jenista Mhagama akizungumza na wafanyakazi wakati alipotembelea
Mamlaka hayo kwa lengo la kujionea utekeleza wa Sheria ya Mamlaka ya
Hifadhi ya Jamii.
Mkurugenzi
Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akifafanua jambo wakati wa kikao cha
pamoja na Mheshimiwa Waziri Jenista Mhagama (kushoto), ofisini hapo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...