Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua baadhi ya vitanda na vifaa mbalimbali vya hospitali vyenye thamani ya sh. bilioni 10 vilivyotolewa na kampuni za vinywaji baidi za Coca cola- Kwanza, Azam  Cola  na Pepsi Cola- SBC  katika makabidhino yaliyofanyika kwenye maghala ya MSD yaliyopo Mabibo jijini Dar es salaam Februari 25, 2016. Kulia  kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Ulisubisya Mpoki.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea moja ya vifaa vya hospitali kutoka kwa wawailishi wa makampini ya Vinywaji baridi ya Coca Cola- Kwanza, Azam Cola na Pepsi Cola-SBC  katika makabidhino yaliyofanyika kwenye maghala ya MSD yaliyopo Mabibo jijini Dar es salaam Februari 25, 2016. Kushoto  Mkurugenzi wa Pepsi, Avinash Jha,Wapili kushoto ni  Reginald Mengi ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa IPP na Wapili kulia ni Basil Gadzios wa Coca cola Kwanza.
 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua baadhi ya vitanda na vifaa mbalimbali vya hospitali vyenye thamani ya sh. bilioni 10 vilivyotolewa na kampuni za vinywaji baidi za Coca cola- Kwanza, Azam  Cola  na Pepsi Cola- SBC  katika makabidhino yaliyofanyika kwenye maghala ya MSD yaliyopo Mabibo jijini Dar es salaam Februari 25, 2016. Kulia  kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Ulisubisya Mpoki.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana   baadhi ya viongozi vya makampuni ya vinywaji  baridi ya Coca Cola- Kwanza, Azam Cola na Pepsi Cola-SBC  katika makabidhino ya vofaa vya hospitali vyenye thamani ya shilingi bilioni 10 yaliyofanyika kwenye maghala ya MSD yaliyopo Mabibo jijini Dar es salaam Februari 25, 2016. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Pepsi, Avinash Jha, Reginald Mengi ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa IPP na Basil Gadzios wa Coca cola Kwanza.  Kulia    ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Ulisubisya Mpoki. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huu ni uzalendo mkubwa sana. Tanzania hii mambo mengi yanawezekana kwa umoja wetu. Sasa hivi tuko watu takribani mil 50...kila mtu akitoa Tsh 100 tu. Hata kama ni nusu ya watu tutapata. 5,000,000,000.


    Hapo sijui tutanunua vitanda vingapi vya wagonjwa.

    ReplyDelete
  2. JISHAUENI TU, LAKINI KODI MTALIPA TU, HASAMEHEWI MTU HAPA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...