Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt Harisson Mwakyembe akiwa katika kikao na Wakurugenzi wa Wizara hiyo wakijadili masuala mbalimbali yanayohusu utekelezaji wa majukumu ya Wizara. Kushoto kwa Waziri ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Ndg. Amon Mpanju.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...