Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akipokea shuka magodolo pamoja na vitanda kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji waBohari ya Dawa (MSD),Laurean Rugambwa Bwanakunu
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza na wandishi wa habari juu ya kupokea vitanda magodoro na mashuka kutoka Bohari ya Dawa (MSD) leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akisaidia kufagia,leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akisaidi kuondoa vifaa leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiteta jambo na Katibu Mkuu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto,Dk. Mpoki Ulisubisya leo jijini Dar es Salaam.
Magodoro yakishushwa
Mafundi wakifunga vitanda
Wagonjwa wakiwa katika wodi ya wazazi.

(Picha na Emmanuel Massaka wa Globul ya Jamii)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Nimeguswa na mfano wa huyu waziri. Nilipomwona akideki nimekumbuka mafundisho ya Yesu. Sikuja kutumikiwa bali kutumikia. Naona tukio hili ni la ajabu sana katika nyakati zetu. Mungu akubariki sana waziri Ummy. Tanzania mpya inazaliwa.

    ReplyDelete
  2. Kumbe inawezekana wagonjwa kulala kwenye vitanda na siyo chini.
    Hapa kazi tu!

    ReplyDelete
  3. Hongera sana waziri UMMY.#Hapa Kazi tu.

    ReplyDelete
  4. Kazii Kazii tufanye Kazi kwa Nguvu zooteeee.#UMMY.

    ReplyDelete
  5. Mheshimiwa dada Ummy; Hii dhamana na amana uliyokabidhiwa.Najua mko karibu na Mheshimiwa Rais. Mimi binafsi yangu nakupongeza na kukuomba usipunguze joto. Sikufyndishi kazi lakini nakuomba, unayeona hakufai muondoe asiwe kikwazo. Hata kama uteuzi wake niwa juu wewe pendekeza tu na useme hakufai. Hongera Mheshimiwa na Mwenyezi Mungu atakusimamia kwa wale wenye husda na wasiponda maendeleo. Wala hasikutishe mtu. Tu pamoja nawe!!

    ReplyDelete
  6. UMMY NINA ZAWADI YAKO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...