Mshambuliaji wa Azam FC, Allan Wanga akiwatoka mabeki wa Stand United  wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi  Complex jijini Dar es Salaam leo, Azam imeshinda 1-0.  (Picha na Francis Dande)
Beki wa Stand United, Assouman N’guessan (kulia) akichuana na mshambuliaji wa Azam FC, Allan Wanga.
 Kipa wa Stand United, Frank Muwange  akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akitafuta mbinu ya kumtoka  beki wa  Stand United, Assouman N’guessan wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara.

 Mashabiki Stand United wakifutilia pambano  hilo. 

Golikipa wa Azam FC, Aishi Manula akidaka mpira langoni pake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...