January akisalimia na mwenyeji wake Bwana Saidi Kiparu mala baada ya kuwasili ofisini kwake.
…………………………………………
Akiwa Jimboni Bumbuli mheshimiwa January Makamba ametembelea Msitu wa Mazumbai ulioko Jimaboni kwake bumbuli, msitu huu umehifadhiwa na serikali chini ya chuo kikuu cha sokoine kwa ajiri ya watu kwenda kujifunza .
Msitu wa mazumbai unasifa nyingi sana za kipekee kwanza ni kati ya misitu michache ambayo haijaathiriwa na shuguli za kibinadamu na hii inatokana na ulinzi na ufadhi mzuri wa chuo cha sokoine vilevile msitu huu una aina nyingi za mimea kuliko aina za mimea iliyopo Western EUROPE (Ulaya Magharibi)
Bwana Saidi Kiparu akitoa maelezo kuhusu baadhi ya mimea ipatikanayo katika hifadhi ya msitu mazumbai.
Bwana Saidi Kiparu akitoa maelezo kuhusu baadhi ya mimea ipatikanayo katika hifadhi ya msitu mazumbai.
January akiwa mbele ya mti unao itwa ENTANDROPHRAGMA EXCELSUM mti huu niwa ajabu nawa kipekee maana mizizi yake ni mipana na inaota kwenda juu kama ukuta.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...