Mbunifu wa mavazi, msanii wa filamu na mrembo maarufu nchini, Jokate Mwegelo akimbeba mtoto aliyezaliwa siku ya wanawake duniani katika hospitali ya Palestina jijini. Jokate alitembelea wodi hiyo na kutoa msaada.
Mbunifu wa mavazi, msanii wa filamu na mrembo maarufu nchini, Jokate Mwegelo akikabidhi moja ya msaada wake kwa mmoja wa mama aliyejifungua mtoto wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani katika hospitali ya Palestina jijini.
Mmoja wa mofisa wa kampuni ya Suining Zerong Commercial Trading, Shuxia B akizungumza kwa niaba ya kampuni hiyo. Kampuni hiyo inafanya kazi pamoja na kampuni ya Kidoti.
kwa nini vitanda havina mashuka??????? please hospital watandikieni hao wamama vitanda vyao jamani, watu wa afya hebu angalieni hiyo wodi ya wazazi.
ReplyDelete