Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa risala yake ya ufunguzi kwenye Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani jijini Dar es salaam jana jioni katika tukio lililoandaliwa na Kazi Services Ltd kwa kushirikiana na Chama cha Waajiri nchini (ATE) na kudhaminiwa na mdhamini Mkuu Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).
Balozi Dk Asharose Mtengeti Migiro akitoa ushuhuda wake wa namna alivyoweza kufanikiwa katika maisha pamoja na vikwazo vingi kwenye mfumo dume, kwenye Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani jijini Dar es salaam jana jioni katika tukio lililoandaliwa na Kazi Services Ltd kwa kushirikiana na Chama cha Waajiri nchini (ATE) na kudhaminiwa na mdhamini Mkuu Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).
Washiriki kutoka Shirika la Nyumba la Taifa katika meza ya pamoja kwenye Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani jijini Dar es salaam jana jioni.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...