Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Injinia Hamad Masauni (kushoto) akizungumza na
Kaimu Balozi wa Marekani nchini, Virginia Blasser (katikati) pamoja na Kaimu Naibu Balozi
wa Marekani, Vicent D’Spera, kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Wizara yake
na Ofisi ya Kaimu Balozi huyo nchini. Viongozi hao wa Ubalozi wa Marekani nchini
walimtembelea Naibu Waziri Masauni ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Kaimu Balozi wa Marekani nchini, Virginia Blasser (kulia) akimfafanulia jambo Naibu Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Injinia Hamad Masauni wakati Kaimu Balozi huyo
alipomtembelea Naibu Waziri Masauni ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kujadili masuala
mbalimbali ya ushirikiano kati ya Ubalozi wa Marekani na Wizara. Picha na Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...