Ajali imetokea Wilayani Igunga ikihusisha basi la Super Sami lililokulikitokea Mwanza kwenda jijini Dar es Salaam.
Chanzo cha ajali hiyo ni Dereva alipokuwa akitaka kukwepa Ng'ombe na gari likamshinda na kuanguka na kusabaisha ajali hiyo.

Watu wakielekea kwenye gari lililopata ajali leo Wilayani Igunga.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...