Mpango wa Taifa wa Damu salama kwa kushirikiana na waumini wa dhehebu la Sabato
wanatarajia endesha zoezi la kuchangia damu kwa hiari katika mikoa mbalimbali hapa nchini.
Mikoa hiyo ni Dar-es-salaam, Morogoro, Mbeya, Dodoma, Mwanza, Kilimanjaro,Arusha,
Kigoma, Tabora, Mara,na Iringa, lengo likiwa ni kukusanya chupa 2000.
Siku ya matendo ya huruma hufanyika jumamosi ya tatu ya mwezi wa tatu kila mwaka, ambapo
waumini hushiriki katika huduma mbalimbali za jami.
Imetolewa na Idara ya Masoko na Uhusiano Mpango wa Taifa wa Damu Salama Tanzania
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...