Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Willium Lukuvi (Mb) akiwa amepokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa bunge la Israel, Bwn. Ronen Plot., alipofika na ujumbe wake ofisini kwake kuzungumza naye kuhusu mahusiano baina ya Tanzania na Israel. Mhe Lukuvi alikuwa akimwakilisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (Mb).
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelline Mabula (Mb) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa bunge la Israel, Bwn. Ronen Plot. Alipofika na ujumbe wake ofisini kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Willium Lukuvi (Mb) kuzungumza naye kuhusu mahusiano baina ya Tanzania na Israel. Mhe Lukuvi alikuwa akimwakilisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (Mb).
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Willium Lukuvi (Mb) akizungumza ujumbe kutoka Israel, walipofika ofisini kwake kuzungumza naye kuhusu mahusiano baina ya Tanzania na Israel. Mhe Lukuvi alikuwa akimwakilisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (Mb).
Jamani Wa Tanzania Wenzangu,Tuwe Makini Sana Na Watu Hawa. unapokumbatiwa,Kwanza Jiulize Kwanini,Pili,Kabla Hujaingia Huko Ni Vizuri Uwajue Kwa Undani Zaidi,Watu Hawa Ni Watu Wa Namna Gani.wengine Sio,ila Ni Vinyonga! Isifike Mahali Tukajitumbukiza Kwenye Mabalaa Km Wanayopata nchi Zingine, Kwa Ajili Tu Ya MASLAHI !!
ReplyDelete