AGIZO la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda lagonga mwamba baada ya baada ya ombaomba hao kuonekana barabarani wakiomba kama ilivyokuwa kawaid yao.


Ikiwa Mkuu wa Mkoa huyo alitoa agizo kwa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kuwaondoa Ombaomba wote wanaoomba barabarani ifikapo Aprili 18 mwaka huu.
Ombaomb ambaye jina lake halikupatikana mara moja akiomba msaada kwa wasamalia wema katika barabara ya Bibititi jijini Dar es Salaam. 
Mremavu wa Mguu akionekana kwenye maungio ya Barabara ya Bibi Titi, Barabara ya Maktaba na Barabara ya Alhasan Mwinyi akiomba msaada kwa wasamalia wema jijini Dar es Salaam leo.
 Watoto wakiwa barabara wakiwa na Daftali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...