Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi Sekta ya Ujenzi ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Eng. Joseph Nyamhanga, akiongea na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi sekta ya ujenzi kabla ya kulifungua rasmi baraza hilo lililofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Watendaji Wakuu wa Sekta ya Ujenzi wakiwa katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi sekta ya ujenzi lililofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi (sekta ya ujenzi) wakisikiliza kwa makini hotuba ya Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi Sekta ya Ujenzi ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wa sekta hiyo Eng. Joseph Nyamhanga, katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi kililofanyika jijini Dar es Salaam.
Mtafiti wa masuala ya Hifadhi ya Jamii kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Bw. Michael Semiono akifafanua jambo kwa wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Sekta ya Ujenzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...