Viongozi Shrika la Taifa Hifadhi ya Jamii NSSF wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakandarasi wa daraja la Kigamboni wakati lilipofunguliwa kwa ajili ya kupita magari kupita bure huku watembea kwa miguu na waendesha baiskeli wakipita bure. Daraja hilo litazinduliwa rasmi na Rais Dk. John Magufuli Jumanne tarehe 19.4.2016. 
Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Karim Mataka akiwa katika eneo la daraja la Kigamboni mara baada ya kufunguliwa kwaajili ya kupita magari na waenda kwa miguu.
Muonekano wa daraja la Kigamboni baada ya magari kuanza kupita.
Eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuweka jiwe la msingi wakati wa uzinduzi rasmi.
Pikipiki na magari yakipita darajani.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Haya maendeleo mazuri sana wacha tozo iwepo watumiaji wachangie gharama za uwekezaji huu.

    ReplyDelete
  2. Mimi nina wasiwasi na ubora,labda pia watuambie kuna vigezo gani vya kuangalai mvutano wa ardhi utakaosababisha vyufa katika daraja.
    Nina maanisha kama kuna watu maalum wenye vifaa maalum kuliangalia hili daraja kutoka na movement ya ardhi na isije kuwa limejengwa kama magorofa ya kariakoo chini ya viwango.
    Huu ni wajibu wetu kama wananchi kujua usalama wetu.Wenzetu wana monitor kila kitu kwenye madaraja yao kwa usalama wa wananchi wao.

    https://www.youtube.com/watch?v=xTVaEWuIJzw

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...