Kwa Mara Ya Kwanza Dar Es Salaam Official FullMoonPartyInDar 2016 Tunasogeza Bata Zote Ndani Ya Escape1Beach
Ni BeachParty Haijawai Kutokea. Jumamosi 23rd April. Kuanzia Saa Sita
Kamili Mchana. Patakuwa Na Nyama Choma, Sea Food Tables, Burudani Ya Music
Djku255 na Dj Cartel_yankee Pamoja na wengine kibao.
Bonfire. Hakuna Kukosa.
KIINGILIO TSH 10,000 Njoo wewe Na Wenzako.
#OfficialFullMoonParty2016 Imeletwa
kwenu na @legendaryMusic @choicefmtz @autoexpertjp na @escape1mikocheni



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...