Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shakha Hamdu Shakha akihutubia wafugaji katika wilaya ya Ngorongoro katika wilaya hiyo
Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shakha Hamdu Shakha (wanne kushoto) akiwasili katika wilaya ya Ngorongoro ambapo alifanya mkutano wa hadhara na kuzindua matawi ya chama katika wilaya hiyo.wakwanza mstari wa mbele ni Mwenyekiti wa UVCCM Arusha Lengai Ole Sabaya (PICHA NA WOINDE SHIZZA,NGORONGORO)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...