Msitu wa majumba ya Kariakoo jijini Dar es salaam unavyoonekana kutoka jengo jipya la Mobile Plaza mtaa wa Uhuru.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mvua ikinyesha Kariakoo maji ya vyoo vinakuwa barazani.
    Huu ndio ustaarabu ya majengo ya hovyo bila kuzingatia miundo mbinu ya maji taka na maji safi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...